| ||||||||||||||||
DEPARTMENTS
|
TASWIRA YA MANISPAA YA KINONDONI :Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ni moja kati ya Manispaa 3 za Mkoa wa Dar es Salaam ambazo zinaunda Jiji la Dar es Salaam, Manispaa nyingine ni Ilala na Temeke. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, ilianzishwa Kama Halmashauri ya Manispaa kwa Sheria ya Serikali (Mamlaka ya Mji) ya 1982 ambayo inaunganisha na kurekebisha sheria ya Manispaa (Municipalities Ordinance Cap. 105), Sheria ya Serikali za Mitaa (Local Government Ordinance Cap. 333) na Sheria ya Halmashauri ya Miji Urban Council Act No. 11 of 1978). Baadaye ilianzishwa Kama chombo huru na Taarifa ya Serikali (Government Notice No. 4) ya mwaka 2000, hivyo kuipa mamlaka ya kuongeza ubora wa utoaji wa huduma zinazotolewa kwa watu Taswira ya Kinondoni - 2010
|
| ||||||||||||||
| Copyright © ict kinondoni municipal council 2010 | ||||||||||||||||